Uwanja wa michezo wa Osizweni

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Uwanja wa michezo wa Osizweni ni uwanja unaotumika kwa matumizi mbalimbali huko Osizweni nchini Afrika Kusini. Kwa sasa uwanja huu unatumika zaidi kwa mechi za mpira wa miguu(mchezo wa soka) na ni uwanja wa nyumbani wa timu ya Amajuba United Killers) inayoshiriki ligi ya Vodacom.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa michezo wa Osizweni kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.