Uwanja wa michezo wa Idas Valley

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Uwanja wa michezo wa Idas Valley ni uwanja wa michezo unaopatikana katika mji wa Stellenbosch, Afrika Kusini na ndiyo uwanja wa nyumbani kwa klabu ya Stellenbosch F.C. Stellenbosch F.C na Manispaa ya mji huo, walishirikiana kufanikisha utayarishaji wa uwanja katika viwango vya ubora kwa ligi ya taifa daraja la kwanza ya mwaka 2018–19.[1]

[2] , [3]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Stellenbosch FC cultivating a bright new future for football". www.iol.co.za (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2019-05-11. 
  2. https://wikivisually.com/wiki/Idas_Valley_Stadium
  3. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-06-12. Iliwekwa mnamo 2021-06-12. 
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa michezo wa Idas Valley kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.