Uwanja wa michezo wa Huntersfield

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Uwanja wa michezo wa Huntersfield ni uwanja wa mchezo wenye matumizi mengi huko Katlehong, Afrika Kusini. Kwa sasa unatumika kwa michezo ya soka na ulikuwa uwanja wa nyumbani kwa klabu ya Jomo Cosmos.[1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Cosmos return to Vosloorus Stadium". Jomo Cosmos. 20 June 2017. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-06-09. Iliwekwa mnamo 18 August 2017.  Check date values in: |date=, |accessdate= (help)
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa michezo wa Huntersfield kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.