Uwanja wa michezo wa Harar

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Uwanja wa michezo wa Harar Imam Ahmed(Geʽez | Ge'ez: ሐረር ስታድየም), pia unajulikana kama" Uwanja wa Harar ni uwanja wenye matumizi mengi uliopo huko Harar nchini Ethiopia. Unatumika zaidi kwa mchezo wa mpira wa miguu na mechi na hutumika kama uwanja wa nyumbani wa timu ya Harar City F.C. zamani Harar Beer F.C. Uwanja huo una uwezo wa kuchukua watu 10,000. Timu ya Dire Dawa City S.C. iitumia uwanja huo kwa muda mfupi kama uwanja wake wa zamani mnamo mwaka 2018 wakati ukarabati ukifanyika katika uwanja wao wa nyumbani wa Uwanja wa Dire Dawa..[1]

marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa michezo wa Harar kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.