Nenda kwa yaliyomo

Uwanja wa michezo wa Coetzenburg

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Uwanja wa Michezo wa Coetzenburg


Uwanja wa michezo wa Coetzenburg ni uwanja unaohusisha michezo mbalimbali unaopatikana Stellenbosch nchini Afrika Kusini, kwenye sehemu ya zamani ya Coetsenburg iliyoanzishwa na Dirk Coetsee mnamo mwaka 1682 baada ya kukabidhiwa ardhi kutoka Katika koloni la Uholanzi , Simon van der Stel. Uwanja unamilikiwa na chuo kikuu cha Stellenbosch. Uwanja huo umekuwa ukitumiwa na timu ya soka ya Stellenbosch pamoja na chuo kikuu cha Stellenbosch Upo karibu na uwanja wa Danie Craven Stadium.Marejeo[hariri | hariri chanzo]