Uwanja wa michezo wa Bohlokong

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Uwanja wa Bohlokong ni uwanja wenye matumizi mengi unaopatikana huko Bohlokong; Free State nchini Afrika Kusini. Hivi sasa uwanja huo unatumiwa zaidi kwa mchezo ya mpira wa miguu (soka) na ndio uwanja wa nyumbani wa timu ya mpira wa miguu inayojulikana kwa jina la Super Eagles FC.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa michezo wa Bohlokong kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.