Uwanja wa michezo wa Cecil Payne
Mandhari
(Elekezwa kutoka Uwanja wa Cecil Payne)
Uwanja wa Cecil Payne ni uwanja wa mchezo wenye matumizi mengi na hupatikana huko Roodepoort,auteng, katika kitongoji cha Johannesburg nchini Afrika Kusini"Archived copy". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2009-08-04. Iliwekwa mnamo 2010-03-08.{{cite web}}
: CS1 maint: archived copy as title (link). Kwa sasa uwanja huo unatumika zaidi kwa Mechi za mpira wa miguu na hutumiwa na wanachama pamoja na vyama husika,uwanja huu uliwekwa kwa ajili ya kutumika kama uwanja wa mazoezi kwa timu zinazoshiriki Kombe la Dunia la mwaka 2010 baada ya kupandishwa na kuvifikia viwango vya FIFA. [1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa michezo wa Cecil Payne kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |