Utumiaji mbaya wa Pombe

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Utumiaji mbaya wa Pombe, kama ilivyoelezwa katika DSM-IV, ni utambuzi wa kiakili unaoeleza matumizi ya mara kwa mara ya vileo licha ya madhara. [3] Inatofautiana kutoka utegemezi wa pombe kwa ukosefu wa dalili kama vile kuvumilia na uondoaji. [4] Utumiaji Mbaya wa Pombe inafahamika kwa jina linginemaalumu lisilo tofautisha la ulevi. Hata hivyo, maana nyingi za ulevi zipo, na ni baadhi tu zilizo sambamba na utumiaji mbaya wa pombe.

Tiba[hariri | hariri chanzo]

Tiba kwa Utumiaji Mbaya wa Pombe inatofautiana, lakini kuna mipango kadhaa zinazotumika kutoka kwa uzuiaji hadi vituo maalumu kulingana na umri na jinsia vya Marekebisho. Mara nyingi kuna unyanyasaji wa kimwili unao husiana na ulevi. Mipango ya matibabu kwa vikundi inayojumuisha wanawake pekee, kwa mfano, inaweza kusaidia kutatua masuala yanayozunguka wanaume waathirika. Vituo vya urekebishaji vinapendekezwa kwa kuondoa kemikali kwani kunaweza kuwa na madhara makubwa ya kimwili, pamoja na mauti, isipotibiwa vyema.

Unyuaji Chuoni[hariri | hariri chanzo]

Utafiti wa mwaka 2001 ulionyesha "asilimia 29 ya wanafunzi wa vyuo Marekani wameendesha gari wakiwa chini ya ushawishi wa pombe'" (Windel). Matokeo ya utafiti tofauti aliofanywa yalikuwa ' "wanafunzi milioni 2.1 kati ya umri wa miaka 18 na 24 waliendesha gari chini ya ushawishi wa pombe'" (USA.gov). Matokeo haya yanaonyesha vile ulevi na uendeshaji gari chuoni ni suala kubwa. Ripoti ya mwaka wa 1995 ya Centers for Disease Control and National College Risk Behavior Survey iliaarifa kwamba ' "asilimia 39.9% ya wanafunzi mlevi katika mwezi uliopita'" (Beck).

Kuzuia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

[7] [8]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

*Kufikiri Unywaji,National Institute on Alcohol Abuse and Alcoholism

*Get Your Sexy Back (moderate drinking campaign, Singapore)

*Recovery REALM, Online Addiction Recovery Community featuring 12 step meetings

Unyuaji mbaya wa pombe[hariri | hariri chanzo]

Pombe[hariri | hariri chanzo]

[11] [12] [13] [3] ^ National Institute on Alcohol Abuse and Alcoholism. "Diagnostic Criteria for Alcohol Abuse and Dependence" Alcohol Alert, No. 30 PH 359, Oktoba 1995. [4] ^Alcohol Abuse]]