Nenda kwa yaliyomo

Utawala wa umma

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Utawala wa umma (kwa Kiingereza: public adminstration) ni utaratibu au mchakato wa kusimamia na kuendesha shughuli za serikali au taasisi nyingine za umma kwa ajili ya kutoa huduma kwa wananchi na kusimamia maslahi ya umma kwa ufanisi.