Mtumiaji:Mohamed mfuu
kwa majina naitwa Mohamed Mfuu ni kijana wa kitanzania kutokea Arusha Tanzania, ni mhariri wa kujitolea wa wikipedia ya kiswahili pia ni mwanafunzi wa chuo cha teknolojia ya kompyuta mkoa wa Arusha.