Mtumiaji:Zander deziner

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

EVA SAULITIS[hariri | hariri chanzo]

Eva Lucia Saulitis alizaliwa mnamo tarehe 10 Mei, mwaka 1963 akafariki mnamo tarehe 16 Januari, mwaka 2016) alikuwa mwanabiologia wa baharini na mwandishi wa mashairi Mmarekani, huko Alaska.

Maisha na Elimu ya Mapema[hariri | hariri chanzo]

Saulitis alizaliwa katika eneo la Bronx na kukulia Silver Creek, New York,[1] akiwa ni binti wa wahamiaji kutoka Latvia, Janis (John) Saulitis na Asja Ivins Saulitis.[2] Alianza kusoma katika Chuo Kikuu cha Northwestern, kabla ya kubadili shule na masomo ili kukamilisha shahada ya kwanza katika sayansi ya mazingira huko Syracuse SUNY ESF (Environmental Science and Forestry). Alihitimu shahada ya uzamili katika biolojia ya baharini katika Chuo Kikuu cha Alaska Fairbanks mwaka 1993, na shahada ya uzamili ya pili, katika uandishi wa ubunifu, mwaka 1999.[3]


Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Saulitis, Eva (2017). "In The Body That Once Was Mine". The Sun Magazine (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2022-07-09. 
  2. "Eva Lucia Saulitis Obituary". Chautauqua Today. January 24, 2016. Iliwekwa mnamo 2022-07-09.  Check date values in: |date= (help)
  3. "Eva Lucia Saulitis (obituary)". Juneau Empire, via Legacy.com. January 26, 2016. Iliwekwa mnamo 2022-07-09.  Check date values in: |date= (help)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mtumiaji:Zander deziner kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Jamii;waliofariki 2016 Jamii;swahili climate voice


TATIANA RYNEARSON[hariri | hariri chanzo]

Tatiana Rynearson ni mwanageografia Mmarekani ambaye ni profesa katika Chuo Kikuu cha Rhode Island. Utafiti wake unazingatia utofauti na wingi wa kazi alizofanya katika kipindi hicho.