Nenda kwa yaliyomo

Mtumiaji:Kkaroma

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Lugha
sw Mtumiaji huyu lugha mama yake ni Kiswahili.
KWC Mtumiaji huyu ni mshiriki (ind.) katika Shindano la WP ya Kiswahili la 2009. (Submissions)



Mimi ninaitwa Kaizilege Karoma rafiki zangu wanapenda kuniita Kai na ndiyo jina ambalo limezoeleka sana. Ninaishi Dar es salaam, Tanzania. Ninapenda kuona kiswahili kinatumika kwenye mtandao. Nimejiunga rasmi kwenye wavuti wa Wikipedia ili tushiriki pamoja kukuza lugha yetu.

Ukurasa wa Karoma Mtandao jamii wa kiswahili