Ujanja
Mandhari
Ujanja ni hali au kitendo cha kujiona kuwa na akili au ujuzi kuliko wengine. Ujuzi huo unaweza kuwa mzuri au mbaya na unaweza kupelekea matokeo chanya au hasi, kwa mfano ujanja wa kuwa unaingiza masomo kwa haraka kichwani na ujanja wa kuwa mwizi na muhuni.
Watu wengi wanapenda wajanja hata kama wanaleta matokeo na kuwaona wale wajanja wa mambo ambayo ni chanya kuwa washamba.
Makala bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |