Nenda kwa yaliyomo

Ugonjwa wa Kucheka (Tanganyika 1962)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Ugonjwa wa Kucheka Tanganyika (katika Kiingereza Tanganyika laughter epidemic) ni mlipuko wa ugonjwa uliotokea mwaka 1962 uliosababishwa na matatizo ya kisaikolojia,ugonjwa huu ulitokea katika kijiji cha Kashasha magharibi mwa ziwa Victoria karibu na mpaka wa nchi ya Uganda katika kipindi cha kuzaliwa kwa Tanzania mpya.[1]

  1. Jeffries, Stuart. "The outbreak of hysteria that's no fun at all", Guardian News and Media Limited, November 21, 2007. 
Makala hii kuhusu mambo ya tiba bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ugonjwa wa Kucheka (Tanganyika 1962) kama sababu yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.