Uchaguzi wa Rais wa Marekani, 1940
Mandhari
Uchaguzi wa Rais wa Marekani, mwaka wa 1940 ulikuwa wa 39 katika historia ya Marekani. Ukafanywa Jumanne tarehe 5 Novemba. Upande wa "Democratic Party", Rais Franklin D. Roosevelt (pamoja na kaimu wake Henry A. Wallace) alimshinda mgombea wa "Republican Party" Wendell Willkie (pamoja na kaimu wake Charles McNary).
Matokeo
[hariri | hariri chanzo]Roosevelt akapata kura 449 na Willkie 82. Ramani yaonyesha kura kwa kila jimbo.
Makala hii kuhusu mambo ya siasa bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |