Ubadilishaji msimbo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Makala hii kuhusu "Ubadilishaji msimbo" ni fupi mno. Inahitaji kupanuliwa mapema.

Ubadilishaji msimbo ni kitendo cha mtu anayezungumza lugha fulani kumalizia tungo kwa lugha nyingine ambayo ni tofauti na aliyoanzia kuzungumza. Hali hii hutokana na uwililugha; yaani mtu kuwa na ujuzi wa lugha mbili sawasawa.

Mfano wa ubadilishaji msimbo:

  1. Jabari anakwenda shule everyday.
  2. I like my mama anayenipenda pia.