Nenda kwa yaliyomo

UNIDO

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Nembo ya UNIDO
UNIDO-ISEC (Kituo cha Kimataifa cha Nishati ya Sola) makao makuu huko Lanzhou, China

UNIDO ni kifupisho cha United Nations Industrial Development Organization yaani Shirika la Maendeleo ya Viwanda la Umoja wa Mataifa.

Makala hii kuhusu "UNIDO" ni fupi mno. Inahitaji kupanuliwa mapema.