Tuzo za muziki Tanzania
Tuzo za muziki Tanzania- ni tuzo za muziki za kitaifa zinazofanyika kila mwaka nchini [1]Tanzania. Pia zinajulikana kama Kilimanjaro Music Awards au Kili Music Awards kama mfadhili wao Kilimanjaro Premium Lager. [2]Ttuzo zake zilianzishwa mwaka 1999 na Baraza la Sanaa la Taifa BASATA chini ya Wizara ya Elimu na Utamaduni ya Tanzania.
Vipengele vya Tuzo
[hariri | hariri chanzo]o Msanii Bora wa Kiume
o Msanii Bora wa
o Mwimbaji Bora wa Kiume
o Mwimbaji Bora wa
o Mwandishi Bora wa Wimbo
o Msanii Bora Anayekuja
o Msanii bora wa Hip Hop
o Rapa bora (kutoka bendi)
o Wimbo Bora
o Video Bora ya Muziki
o Mkurugenzi Bora wa Video ya Muziki
o Wimbo Bora wa Afro Pop
o Wimbo Bora wa R&B
o Wimbo Bora wa Zouk/Rhumba
o Wimbo Bora wa Hip Hop
o Wimbo Bora wa Ushirikiano
o Wimbo Bora wa Kiswahili (kutoka bendi)
o Wimbo Bora wa Ragga/Dancehall
o Wimbo Bora wa Reggae
o Wimbo Bora wa Taarab
o Wimbo Bora wa Afrika Mashariki
o Wimbo Bora wa Jadi
o Mtayarishaji Bora Jim Beam