Tuzo za Muziki za MTV Afrika 2009

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Tuzo za Mara ya pili za Muziki wa MTV Afrika zilifanyika mnamo Oktoba 10, 2009 katika ukumbi wa mazoezi wa kimataifawa Moi huko Nairobi, Kenya na ziliandaliwa na msanii Wyclef Jean Mmarekani mwenye asili ya Haiti

Marejeo[hariri | hariri chanzo]