Nenda kwa yaliyomo

Tuzo za Muziki Senegal

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Tuzo za muziki Senegal (SENMA) ni sherehe bora za mwaka katika tasnia ya muziki Senegal. Tukio lilianzishwa 2008. Tuzo zilijikita kwenye maonyesho yaliofanywa mwaka uliopita kwenye makundi 56. Sherehe zinahusisha maonyesho ya baadhi ya walioteuliwa. Kulingana na tuzo za muziki Afrika Kusini na tuzo Grammy.

Tuzo za awali za muziki Senegal

[hariri | hariri chanzo]
  • Mwanamuziki bora wa kike-Titi
  • Mwanamuziki bora wa kiume- Pape Diouf
  • kundi bora- Alif
  • Nyimbo bora- Tayoumako (Titi)
  • Albamu bora- Muziki (Titi)
  • Nyimbo bora- biss bi(abdou guitté Seck)
  • Mwanamuziki bora chipukizi wa kike- Adiouza
  • Mwanamuziki bora chipukizi wa kiume- Waly Secky

Okestra/Kidini

[hariri | hariri chanzo]
  • Maonyesho bora ya okestra- Ali Jabert
  • Maonyesho bora ya kwaya- Semegna Les martyrs de l'ouganda
  • Maonyesho bora ya kiislam- Baye (Aida Baye)

Vichekesho

[hariri | hariri chanzo]
  • Mchekeshaji bora- Sanekh
  • Mchekeshaji bora Cd- bébé Diarra- Jankheen

Tuzo za muziki Senegal (SENMA) ni sherehe bora za mwaka katika tasnia ya muziki Senegal. Tukio lilianzishwa 2008. Tuzo zilijikita kwenye maonyesho yaliofanywa mwaka uliopita kwenye makundi 56. Sherehe zinahusisha maonyesho ya baadhi ya walioteuliwa. Kulingana na tuzo za muziki Africa Kusini na tuzo Grammy