Nenda kwa yaliyomo

Tuzo za Headies kwa mwimbaji bora wa R&B

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Tuzo za Hedies kwa mwimbaji bora wa R&B, ni tuzo inayotolewa na The Headies, ilianzishwa mnamo mwaka 2006 na ilijulikana kama tuzo ya Dunia ya Hip Hop. Ilitolewa kwa mara ya kwanza kwa Banky W. mnamo 2010.[1] [2]


  1. "The Headies Awards releases Nominees List for 12th Edition". BellaNaija. 13 Aprili 2018. Iliwekwa mnamo 24 Machi 2019.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "Winners - The Headies 2010". Hip Hop World Magazine. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-03-28. Iliwekwa mnamo 24 Machi 2019.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)