Tuenjai Deetes

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Tuenjai Deetes (zamani alijulikana kama Tuenjai Kunjara na Ayudhya; alizaliwa 8 Aprili 1952) amefanya kazi na Thai hill tribes kuanzia mwaka 1970, mnamo 1986 alianzisha Hill Area Development Foundation. Mwaka 1992 ,[1]alipokea tuzo ya Global 500 Roll of Honour na mwaka 1994 [2]alipokea tuzo ya Goldman Environmental Prize. Yeye ni kamishna wa zamani wa Tume ya Haki za Kibinadamu hadi alipojiuzulu wadhifa huo mnamo Julai 2019. [3]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Adult Award Winner in 1992 - Tuenjai Deetes". global500.org. Global 500 Forum. November 15, 2007.  Check date values in: |date= (help)
  2. "Tuenjai Deetes". goldmanprize.org. Goldman Environmental Prize. November 15, 2007. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2012-09-05. Iliwekwa mnamo 2023-06-12.  Check date values in: |date= (help)
  3. Ethirajan Anbarasan (November 15, 2007). "Tuenjai Deetes: a bridge to the hill tribes (interview)". UNESCO.  Check date values in: |date= (help)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Tuenjai Deetes kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.