Tsigie Gebreselama

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Tsigie Gebreselama (Alizaliwa Septemba 30, 2000) mwanariadha wa mbio ndefu kutoka nchini Ethopia[1]. Mwaka 2019 alishinda marathoni kilometa 15 ya Istanbuli kwa wanawake.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Athletics GEBRESELAMA Tsigie - Tokyo 2020 Olympics (en-us). olympics.com. Jalada kutoka ya awali juu ya 2021-10-11. Iliwekwa mnamo 2021-10-11.