Nenda kwa yaliyomo

Tromla

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Tromla

Tromla au Christoph Hans (amezaliwa tar. 5 Januari 1975, St. Ingbert) ni mwanamuziki wa Ujerumani. Jina la kisanii latokana na neno la Kijerumani "Trommler" (mpiga ngoma).

Aliwahi kupiga ngoma zake katika bendi za muziki mbalimbali lakini siku hizi anafanya mambo pekee yake au pamoja na watayarishaji wa muziki ya disko.

Diskografia[hariri | hariri chanzo]

  • 2004:Hyperdimension
  • 2011:Eintopf

Viango vya nje[hariri | hariri chanzo]