Trinidad James
Mandhari
Nicholaus Joseph Williams, anayejulikana zaidi kwa jina Trinidad James (mara nyingi alibadilishwa kama Trinidad Jame $), ni rapper wa Trinidad-Marekani.
Mnamo mwaka 2012, alisaini mkataba wa kurekodi na Def Jam Recordings.
Bila kuwa na albamu ya kwanza kutolewa, alitowa kwenye lebo hiyo mnamo 2014, ingawa anaendelea kutoa muziki kama msanii anayejitegemea.
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Trinidad James kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |