Trilogy

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Trilogy neno la kutaja mfululizo wa hadithi au filamu zilizo na sehemu tatu, yaani, 1, 2 na 3. Kwa mfano, mflulizo wa filamu ya The Godfather unaitwa trilogy kwasababu ipo katika sehemu tatu: The Godfather, The Godfather Part II, na The Godfather Part III.

Mfumo huu wa trilogy asili yake inatokana na mira za Kigiriki ya Kale, ambapo kulikuwa na watu watatu wanigiza mchezo mmoja kwa ufupi kisha baadaye unakuja kundelezwa katika sehemu ya pili na ya tatu.