Tosin Aiyegun

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Oluwatosin Tosin Aiyegun (alizaliwa 26 Juni 1998) ni mchezaji wa soka anayecheza katika klabu ya FC Zürich.[1] Alizaliwa nchini Nigeria, na anachezea timu ya taifa ya Benin.

Kazi[hariri | hariri chanzo]

Tarehe 2 Septemba 2019, Aiyegun alijiunga na klabu ya Uswisi ya FC Zürich kwa mkataba hadi majira ya joto ya 2023.[2]

Kimataifa[hariri | hariri chanzo]

Aiyegun alizaliwa nchini Nigeria na baba M-Nigeria na mama M-Benin. Alichaguliwa kujiunga na timu ya taifa ya Beni kwa mechi za kirafiki mnamo Machi 2022.[3] Alianza kucheza na Benin katika ushindi wa kirafiki wa 4-0 dhidi ya Liberia tarehe 24 Machi 2022, akifunga goli katika mechi yake ya kwanza.[4]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Tosin Aiyegun kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.