Tonj (mji) ni mji wa Sudan Kusini, jimbo la Tonj.
Idadi ya watu wake ilikadiriwa kuwa 17,340 mwaka 2010.