Nenda kwa yaliyomo

Tolazamidi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Tolazamidi (Tolazamide), inayouzwa kwa jina la chapa Tolinase miongoni mwa mengine, ni dawa inayotumika kutibu kisukari cha aina ya 2.[1] Dawa hii inachukuliwa kwa mdomo.[1] Athari zake huanza ndani ya dakika 20 na hudumu kwa takriban masaa 10.[1]

Madhara yake ya kawaida ni pamoja na kichefuchefu, kupoteza hamu ya kula, kuhara, na maumivu ya tumbo.[1] Madhara yake mengine yanaweza kujumuisha upele na sukari ya chini ya damu.[1] Madhara yake kawaida huwa zaidi kwa watu wenye matatizo ya ini au figo.[1] Dawa hii ni katika dawa za kisukari za miaka ya kundi la sulfonylurea.[1]

Tolazamidi iliidhinishwa kwa ajili ya matumizi ya kimatibabu nchini Marekani mwaka wa 1966.[1] Inapatikana kama dawa ya kawaida.[2] Nchini Marekani, vidonge 90 vya miligramu 250 hugharimu takriban dola 54 za Kimarekani.[3]

  1. 1.0 1.1 1.2 1.3 1.4 1.5 1.6 1.7 "Tolazamide Monograph for Professionals". Drugs.com (kwa Kiingereza). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 4 Septemba 2019. Iliwekwa mnamo 5 Oktoba 2021.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)"Tolazamide Monograph for Professionals". Drugs.com. Archived from the original on 4 September 2019. Retrieved 5 October 2021. {{cite web}}: More than one of |archivedate= and |archive-date= specified (help); More than one of |archiveurl= and |archive-url= specified (help)
  2. Skyler, Jay (4 Aprili 2012). Atlas of Diabetes (kwa Kiingereza). Springer Science & Business Media. uk. 186. ISBN 978-1-4614-1027-0. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 9 Oktoba 2021. Iliwekwa mnamo 5 Oktoba 2021.{{cite book}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. "Tolazamide Prices, Coupons & Patient Assistance Programs". Drugs.com (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 5 Oktoba 2021.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mambo ya tiba bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Tolazamidi kama sababu yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.