Nenda kwa yaliyomo

Tirzepatide

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Tirzepatide, inayouzwa kwa jina la chapa Mounjaro, ni dawa inayotumika kutibu kisukari cha aina ya 2 na unene uliopitiliza.[1] [2] Inatumika pamoja na lishe maalumu na mazoezi [1] na inatolewa kwa njia ya sindano ya kila wiki chini ya ngozi.[1]

Madhara yake ya kawaida ni pamoja na kichefuchefu, kuhara, kuvimbiwa choo na maumivu ya tumbo.[1] Madhara yake mengine yanaweza kujumuisha kongosho, sukari ya chini ya damu, athari ya mzio na ugonjwa wa kibofu.[1] Matumizi yake wakati wa ujauzito yanaweza kumdhuru mtoto.[1] Dawa hii ni kiamsha kipokezi cha glucagon-kama peptide-1 (GLP-1) na insulinotropic polypeptide (GIP) inayotegemea glucagon na huongeza kutolewa kwa insulini kwa chakula.[1][3]

Tirzepatide iliidhinishwa kwa ajili ya matumizi ya kimatibabu nchini Marekani, Ulaya na Uingereza mwaka wa 2022.[1][3][4] Nchini Marekani, inagharimu takriban dola 1,000 za Marekani kwa wiki 4 kufikia mwaka wa 2022.[5]

  1. 1.0 1.1 1.2 1.3 1.4 1.5 1.6 1.7 "Mounjaro- tirzepatide injection, solution". DailyMed. 13 Mei 2022. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 3 Julai 2022. Iliwekwa mnamo 27 Mei 2022.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)"Mounjaro- tirzepatide injection, solution". DailyMed. 13 May 2022. Archived from the original on 3 July 2022. Retrieved 27 May 2022. {{cite web}}: More than one of |archivedate= and |archive-date= specified (help); More than one of |archiveurl= and |archive-url= specified (help)
  2. Jastreboff, Ania M.; Aronne, Louis J.; Ahmad, Nadia N.; Wharton, Sean; Connery, Lisa; Alves, Breno; Kiyosue, Arihiro; Zhang, Shuyu; Liu, Bing (2022-07-21). "Tirzepatide Once Weekly for the Treatment of Obesity". New England Journal of Medicine (kwa Kiingereza). 387 (3): 205–216. doi:10.1056/NEJMoa2206038. ISSN 0028-4793. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2023-05-06. Iliwekwa mnamo 2023-05-07.
  3. 3.0 3.1 "Mounjaro". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 12 Desemba 2022. Iliwekwa mnamo 12 Desemba 2022.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  4. "Tirzepatide". SPS - Specialist Pharmacy Service. 8 Machi 2019. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 12 Desemba 2022. Iliwekwa mnamo 12 Desemba 2022.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  5. "Mounjaro Prices, Coupons, Copay & Patient Assistance". Drugs.com (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 12 Desemba 2022.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mambo ya tiba bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Tirzepatide kama sababu yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.