Thiago Amparo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Thiago de Souza Amparo ni mwanasheria maarufu wa Brazili, msomi wa sheria na haki za binadamu, profesa na mwandishi wa habari. Anajulikana kwa kutetea ubaguzi wa rangi na ushirikishwaji nchini Brazili na ni mwanachama wa Muungano wa Wanasheria wa Brazili[1] . Amparo ana shahada ya uzamili na PhD kutoka Chuo Kikuu cha Ulaya ya Kati. Nimchangiaji wa kila wiki katika gazeti la Folha de S. Paulo[2], akishughulikia mada kama vile ubaguzi wa rangi wa mahakama, uwakilishi mdogo wa vikundi vya wachache katika siasa, na umuhimu wa jamii za Weusi na LGBT[3] kwa demokrasia.


Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Thiago de Souza Amparo | FGV DIREITO SP". 
  2. "Análise - Thiago Amparo: No Brasil, o racismo judicial é tão antigo quanto o Judiciário". Folha de S.Paulo. August 13, 2020.  Check date values in: |date= (help)
  3. "Thiago Amparo: Sem pessoas LGBTs e negras não haveria democracia". Folha de S.Paulo. June 28, 2020.  Check date values in: |date= (help)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Thiago Amparo kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.