Nenda kwa yaliyomo

Theodwin wa Santa Rufina

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Theodwin (pia Theodwine, Theodin au Theodevin) (alifariki pengine tarehe 7 Machi 1151 katika Ufalme wa Jerusalem) alikuwa kardinali kutoka Ujerumani na mjumbe wa papa wa karne ya 12.[1]

  1. Bachmann, J. "Die päpstliche Legaten in Deutschland und Skandinavien (1125–1159)." Historische Studien 115 (Berlin, 1913).
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.