Theo Walcott

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Theo Walcott

Theo James Walcott (amezaliwa 16 Machi 1989) ni mchezaji wa mpira kutoka nchi ya Uingereza. Anacheza kwa Everton FC na kwa Timu ya Mpira ya Kitaifa ya Uingereza.

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Theo Walcott kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.