Thembinkosi Fanteni

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Thembinkosi "Terror" Fanteni (alizaliwa 2 Februari 1984) ni mshambuliaji wa kandanda wa Afrika Kusini.

Alikuwa sehemu ya kikosi cha Afrika Kusini katika Kombe la Mataifa ya Afrika 2008 na Kombe la Shirikisho la FIFA la 2009.

Magoli kimataifa[hariri | hariri chanzo]

# Tarehe Kiwanja Mpinzani Alama Matokeo ushindani
1 2008-06-07 Atteridgeville, Afrika Kusini Equatorial Guinea 3–0 4–1 WCQ
2 2009-06-06 Johannesburg,Afrikka Kusini poland 1-0 1-0 Mechi Ya Kirafiki

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Viungo Vya Nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Thembinkosi Fanteni kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.