The Pentagon

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
The Pentagon

The Pentagon ni jengo na ofisi ziko katika Arlington, Virginia karibu na Washington DC. Ni makao makuu ya Idara ya Ulinzi ya Marekani.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]