The Headies Tuzo ya albamu ya mwaka

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

The Headies Tuzo ya albamu ya mwaka, ni tuzo inayowakilisha The Headies, Tuzo hii ilianzishwa mwaka 2006 na asili yake ni tuzo za Hip Hop za ulimwengu.[1] kwa mara ya kwanza tuzo hii ilitolewa kwa albamu ya Get squared.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. https://www.bellanaija.com/2018/04/12th-headies-full-list-nominees/