The Chanzo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

The Chanzo ni chombo cha habari kilichopo nchini Tanzania. Kimejikita kwenye kuchapisha habari za kiuchambuzi na uchunguzi hasa kidigitali. The Chanzo ilianzishwa Julai 2020 kujaza ombwe la habari za kiuchambuzi kwenye tasnia ya habari [1][2][3][4][5].

Mwaka 2022, waandishi kutoka The Chanzo walishinda tuzo za Umahiri za Uandishi wa Habari Tanzania (EJAT) kwenye vipengele vya uwajibikaji, data na habari za utalii kwa waandishi wa mtandaoni.


Marejeo[hariri | hariri chanzo]