Thara Memory
Mandhari
Thara Memory alikuwa mpiga tarumbeta na mtaalamu wa elimu kutoka Eatonville, Florida. Alisoma katika Chuo cha Jimbo la Alabama na Chuo cha Marylhurst.
Alikuwa akiishi Portland, Oregon, Marekani kuanzia miaka ya 1970 hadi alipofariki mwaka 2017.
Binti yake, Tahirah Memory, ni mwimbaji maarufu wa jazzi duniani.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Thara Memory kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |