Thamsanqa Gabuza

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Thamsanqa Aubrey Gabuza (alizaliwa 27 Julai 1987) ni mchezaji wa soka wa Afrika Kusini ambaye anacheza kama mshambuliaji katika klabu ya SuperSport United nchini Afrika Kusini na Bafana Bafana. [1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. 48700 at National-Football-Teams.com
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Thamsanqa Gabuza kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.