Teymoor Nabili

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Teymoor Nabili
Ajstill1.jpg
Teymoor Nabili, akitangaza kipindi cha "101 East"

Teymoor Nabili ni mwanahabari mkuu wa Al Jazeera ya Kiingereza kaitika makao ya Kuala Lumpur. Wanahabari wenzake katika kituo hiki ni Divya Gopalan, Laura Kyle na Verónica Pedrosa. Yeye pia ni mtangazaji wa kipindi cha 101 East ambacho huzingatia mambo leo nchini Asia. Alichaguliwa kama 'Mwanahabari Bora' katika tuzo ya Asia Television mwaka 2005; hata hivyo alipokea tuzo kutoka UK Royal Television Society kwa ajili ya kufichua hongo iliyotokea katika Olimpiki.

Kabla ya kujiunga na Al Jazeera ya Kiingereza, alikuwa akifanya kazi kwa CNBC Asia kama mwanahabari.

Viungo vya ndani[hariri | hariri chanzo]

Teymoor Nabili