Teresa Urrea
Mandhari
Teresa Urrea (mara nyingi hujulikana kama Teresita na pia kama Santa Teresa au La Santa de Cábora, yaani "Mtakatifu wa Cabora"; 15 Oktoba 1873 – 11 Januari 1906) alikuwa Mkristo wa Mexico, mponyaji, na mpigania mapinduzi.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Jesus Vargas Valdez. Encyclopedia of Mexico: History, Society & CultureSearch. Routledge. Iliwekwa mnamo 2010-03-26.
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |