Nenda kwa yaliyomo

Teenage Mutant Ninja Turtles

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Teenage Mutant Ninja Turtles ni mfululizo wa vipindi katika chaneli ya Nickelodeon ambao unahusu kasa wanne waliochukuliwa na Hamatoyoshi ambaye alibadilishwa kuwa panya kisha akaenda kuishi kwenye maji taka akiwafundisha kungfu ili kupigana na shredder ambaye alikuwa kaka mdogo wa Hamatoyoshi na ninja yake na pia alimwibia binti yake miwa na kumuita karai. Sasa anapambana na baba yake bila kujua. Jina la kasa wake ni Leonardo ni kiongozi, Raphael yule mzito, Donatello mjanja na Michelangelo wa kuchekesha.

Makala hii kuhusu filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Teenage Mutant Ninja Turtles kama waigizaji wake, hadithi au matoleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.