Tatu Mussa Ntimizi
Mandhari
(Elekezwa kutoka Tatu Musa Ntimizi)
Tatu Mussa Ntimizi (amezaliwa tarehe 9 Aprili, 1946) ni mbunge wa jimbo la Igalula katika bunge la taifa nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha Mapinduzi CCM.
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Mengi kuhusu Tatu Mussa Ntimizi". 25 Aprili 2006. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-10-26. Iliwekwa mnamo 11 Novemba 2011.
Makala hiyo kuhusu mwanasiasa wa Tanzania bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |