Tatu Mussa Ntimizi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta

Tatu Mussa Ntimizi (amezaliwa 9 Aprili, 1946) ni mbunge wa jimbo la Igalula katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Mengi kuhusu Tatu Mussa Ntimizi (25 Aprili 2006). Iliwekwa mnamo 11 Novemba 2011.