Tao (usanifu)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Tao

Tao ni sehemu ya jengo ambako kuna uwazi uliofunikwa juu kwa umbo la pinde.

Tao inaweza kuwa kama sehemu ya mviringo au zaidi yenye ncha ya katikati.