Tanzania kwenye Michezo ya Olimpiki ya mwaka 1968

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Tanzania kwenye Olimpiki ya Majira ya joto ya 1968

Tanzania ilishiriki katika Michezo ya Olimpiki[1] ya Majira ya 1968 huko jijini Mexico , Mexico. Hapo awali, taifa liliwahi kushindana kama Tanganyika.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. https://www.facebook.com/RFIsw+(2016-07-28).+Fahamu historia fupi ya michezo ya Olimpiki (sw). RFI. Iliwekwa mnamo 2023-05-20.