Nenda kwa yaliyomo

Tamasha la Zumbenti

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Tamasha la Zumbenti ni tamasha la kila mwaka linaloadhimishwa na machifu na watu wa Kaleo katika Wilaya ya Nadowli katika Mkoa wa Upper West wa Ghana.[1][2][3] Kwa kawaida huadhimishwa katika mwezi wa Aprili.[4] Wengine pia wanasema kwamba linasherehekewa mwezi wa Mei.[5]


Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Attractions". Visit Ghana (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2020-08-23.
  2. "Visit Ghana | UPPER WEST REGION". Visit Ghana (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2020-08-23.
  3. "Upper West Region". Community Water and Sanitation Agency (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2020-08-23.
  4. "Festivals Ghana - Easy Track Ghana". www.easytrackghana.com. Iliwekwa mnamo 2020-08-23.
  5. "National Commission on Culture - Ghana - Upper West Region". www.s158663955.websitehome.co.uk. Iliwekwa mnamo 2020-08-23.
Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Tamasha la Zumbenti kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.