Nenda kwa yaliyomo

Tamasha la Tengana

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Tamasha la Tengana ni tamasha la kila mwaka linaloadhimishwa na machifu na watu wa Eneo la Kitamaduni la Tongo.[1] Linajumuisha Balungu, Winkongo, na Pwalugu katika Mkoa wa Upper East wa Ghana.[2][3] Pia ni tamasha la Tallensi.[4][5] Husherehekewa mwezi Januari.[6]

  1. "Festivals in Ghana". touringghana.com (kwa American English). 2016-02-24. Iliwekwa mnamo 2020-08-21.
  2. "Festivals – Slutchtours" (kwa American English). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-01-18. Iliwekwa mnamo 2020-08-21.
  3. "Ghana Festivals". ghanakey.com. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-08-03. Iliwekwa mnamo 2020-08-21.
  4. "Festival | The Embassy of the Republic of Ghana, Berlin, Germany" (kwa American English). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2020-08-13. Iliwekwa mnamo 2020-08-21.
  5. "The Upper East Region - ghanagrio.com". ghananation.com (kwa Kiingereza). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-08-09. Iliwekwa mnamo 2020-08-21.
  6. Boateng, Kwabena (2015-09-12). "List of festivals in Ghana". GhanaCulturePolitics (kwa American English). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-01-20. Iliwekwa mnamo 2020-08-21.
Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Tamasha la Tengana kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.