Nenda kwa yaliyomo

Tamasha la Sungweh

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Tamasha la Songhei (au Sungweh) ni tamasha la kila mwaka linaloadhimishwa na machifu na watu wa Sampa-Jaman katika Mkoa wa Bono, ambao hapo awali ilikuwa sehemu ya Mkoa wa Brong-Ahafo wa Ghana. Kwa kawaida huadhimishwa katika mwezi Juni au Julai.[1][2]


Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Festivals Ghana - Easy Track Ghana". www.easytrackghana.com. Iliwekwa mnamo 2020-08-23.
  2. "Festivals". www.nhoc.gov.gh. Iliwekwa mnamo 2020-08-23.
Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Tamasha la Sungweh kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.