Nenda kwa yaliyomo

Tamasha la Sonyor Deng

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Tamasha la Sonyor Deng ni tamasha la kila mwaka linaloadhimishwa na machifu na watu wa Sonyor katika Wilaya ya Bole katika Mkoa wa Savannah, ambao hapo awali ilikuwa sehemu ya Mkoa wa Kaskazini wa Ghana.[1][2] Kwa kawaida huadhimishwa katika mwezi Mei.[3][4]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Festival | The Embassy of the Republic of Ghana, Berlin, Germany" (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2020-08-20.
  2. "Ghana MPs - Constituency Details - Bole/Bamboi". ghanamps.com. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2020-01-13. Iliwekwa mnamo 2020-08-20.
  3. "How Well Do You Know The Festivals In Ghana?". BusinessGhana. Iliwekwa mnamo 2020-08-20.
  4. "Festivals Ghana - Easy Track Ghana". www.easytrackghana.com. Iliwekwa mnamo 2020-08-20.
Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Tamasha la Sonyor Deng kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.